Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hua mnawezaje kutembea nchi nyingi hivo wakati mimk mkoani kwetu nimeshindwa kutoka..nipeni connection asee nitaozea huku poriOh! Nimepitia hapa na kuona hili swali, sorry for late response lakini nitawaita wataalamu tuzungumze hili.
Proved CHASHA FARMING Drone Camera T14 Armata na wengine wengi.