Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wachina ni wafanyabiashara wazuri sana toka enzi za Qing dynasty.Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo.
Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi.
Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi.
Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
Mchina haji kulazimisha ufate dini yake.ila hawa wazungu na waarabu ni keroWewe hauelewi chochote wewe. kinyonga akita kula mdudu anabadirika kuwa rangi ya majani ili mdudu aone ni jani kumbe ndio mwisho wake.
Hamna mtu hatari kama mchina.
Kama vile wanvyotuita wapumbavu na nyani.
Basi hawa nao ni mashetani.
Hauwezi linganisha moyo wa mchina na mzungu, angalau mzungu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ni Nani alilazimishwa ndugu shetwani?Mchina haji kulazimisha ufate dini yake.ila hawa wazungu na waarabu ni kero
Machina ni watu wabaya sana sana hawana UTU hata ukawafanyia kitu gani si dhani kama unaweza kuishi China uswazi kwao kama hapa bongo .Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo.
Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi.
Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi.
Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
Mchina alimfanyia nani mambo ya ukoloni na kulazimisha imani zao?Wewe hauelewi chochote wewe. kinyonga akita kula mdudu anabadirika kuwa rangi ya majani ili mdudu aone ni jani kumbe ndio mwisho wake.
Hamna mtu hatari kama mchina.
Kama vile wanvyotuita wapumbavu na nyani.
Basi hawa nao ni mashetani.
Hauwezi linganisha moyo wa mchina na mzungu, angalau mzungu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwenye miradi ya ujenzi watoto wa kichina wameachwa wengi sanaWachina nawajua kimndukumndunku
1 kwanza wanaishi maisha ya aina yoyote nlikua nao pwani hata kwenye maboksi tulilala nao sana kazi juani tunashinda nae na Kuna muda tunaenda kinvulini tunaliacha juani linadrill miamba na Wala hamaindi Wala nini
2 hata mademu wa kibongo wanawapenda sana ukienda lugoba kwa macrushers mapolini Huko utakutana na watoto engine wa kichina wamezaa na wakwere, vitoto vishakua vichafu vichafu unakuta viko na watoto wa kimasai vinachunga mbuzi.
3 sio wachoyo wengi wao ukifanya nae kazi poa akienda kwao anarudi na zawadi yako
4 hawajitengi Kuna mmoja nlikua nakunywa nae supu ya ngombe kwa mama ntilie kariakoo kimgahawa kichafuchafu lakini na yeye anajaa pale
Kiufupi mchina no Kama msukuma popote kambi. Ila kwa uchafu wanaongoza ni wachafu balaa Hadi mbwa na paka unakuta wanazurura jikoni na wanalamba lamba vyombo wanavyotumia Wala hata hawajali