Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaonizunguka/maishaunapokuwa bored na nani au nini?
kwa uchunguzi wangu mimi binafsi nimekaa nikajua kuwa jamii forum ni sehemu ya kuongea vitu ambavyo hatuwezi kuviongea mbele za watu kwenye maisha ya kawaida.
njoo na wewe utoe mtazamo wako jamii forum ni nini kwako?