Jamii Forum ni nini kwako?

Jamii Forum ni nini kwako?

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
4,107
Reaction score
4,612
kwa uchunguzi wangu mimi binafsi nimekaa nikajua kuwa jamii forum ni sehemu ya kuongea vitu ambavyo hatuwezi kuviongea mbele za watu kwenye maisha ya kawaida.

njoo na wewe utoe mtazamo wako jamii forum ni nini kwako?
 
Jamii forum kwangu mimi ni sehemu ya kupatia habari haswa zile amabazo ni za kiundani zaidi (ingawa wakati fulani si kila habari ni sahihi)
Jamii forum ni sehemu ya kuburudika pia haswa mastory na mijadala ya wananzengo wa jf
Jamii forum ni pa siasa ingawa eneo hili sio mshabiki sana
Karibuni wengine
 
[QUOTE="MWANAKA,@[/QUOTE]asante mkuu tumekusoma
 
KWA SASA MIMI KWANGU JAMII FORUM NI KAMA JUKWAA LA UDAKU TU NA HOJA ZISIZO MAKINI

[emoji983][emoji982][emoji981][emoji990][emoji342][emoji956][emoji937][emoji1009][emoji3539]
hoja zipi humu zisizo makini?
 
Ni mtandao ambao walala hoi au baadhi ya watumia smatphone hawaujui basi jamii inayonizunguka nawapigia stori za nondo ninazochukua humu basi hapa kitaani kwangu wananiogopa kuliko hata jiwe wenu
kwa uchunguzi wangu mimi binafsi nimekaa nikajua kuwa jamii forum ni sehemu ya kuongea vitu ambavyo hatuwezi kuviongea mbele za watu kwenye maisha ya kawaida.

njoo na wewe utoe mtazamo wako jamii forum ni nini kwako?
 
Ni mtandao ambao walala hoi au baadhi ya watumia smatphone hawaujui basi jamii inayonizunguka nawapigia stori za nondo ninazochukua humu basi hapa kitaani kwangu wananiogopa kuliko hata jiwe wenu
wabongolala unawachukua sana sio
 
Moja... Ni sehemu pekee ambayo unakutana na watu, na mkaelewana, kuzoeana hata kupendana, alafu baadae ndiyo mnakuja kuonana...

Pili... Ni sehemu ambayo taarifa huletwa papo kwa papo... siyo ungoja mpaka zikahaririwe...

Tatu... ni sehemu ambayo unaweza tapika nyongo, kuleta ujuaji, au kuleta ubabe, bila kufahamu huyo member ana nguvu gani juu yako... mpaka ile siku atakayokukamata na kukupoteza...

Nne... Ukitaka kuishi kwa amani na bila stress don't take everything serious... fanya unaloweza, mengine waachie wenyewe...

Cc: mahondaw
 
Siasa,ujasusi,historia,biashara,mijadala mizito ya kuelimisha,mapenzi kupata experience na kujifunza makosa ya wengine. Pia kuna vitu vingi navipuuza ambavyo sio interest zangu. Siku hizi JF imekuwa na mlengo mpya ambao unai-dilute
 
Kupata habari kwa undani zaidi

Pia jf niburudani tosha nikiwa nasoma baadhi ya nyuzi za wadau
 
Back
Top Bottom