Jamii Forum ni nini kwako?

Jamiiforums ndiyo kila kitu.
Utapata news, utajifunza, utaburudika nk.
Nimejiunga hapa tangu miaka ya mwanzo ya jukwaa hili ingawa kwa account yangu ya zamani ambayo haipo tena.
Tangu wakati huo nimejifinza mengi hapa.
 
Ni social network ya maana sana ambayo ni full package, napata habari za aina zote kupitia forum hii....

ila kubwa zaidi ni stress reliever , huwa nikiwa bored mara nyingi naingia JF na mpaka nikitoka ninakuwa niko vizuri sana [emoji41]
 
safi sana umefunguka vyema
 
JF ni kama jamii kwangu..yaani mtaa..ambao ndani yake kuna watu wana uelewa wa mambo mengi kuhusu Siasa,Uchumi,Tech,Burudani na Michezo na maswala ya Elimu pia.
Ila team yako tu Manchester ndiyo hovyo
 
Jf ndo app best kwangu...!! Ikifwatiwa na zingine
 
mm kwangu ndo sehem ya biashara kama sasahv nauza computer yangu ina smart hp monitor (slimmest ) inch 27 cpu ram2gb hdd 250gb(hp),keyboard (hp) mouse +mat (hp) na vga,powercable yake vyote ...bei 370k

nipo Dodoma Mjini picha znakuja..
 
lipia tangazo lako mkuu
 
picha hizo apo mzigo mpyaaaaa..nahama kikazi tu
 
Ni mtandao ambao walala hoi au baadhi ya watumia smatphone hawaujui basi jamii inayonizunguka nawapigia stori za nondo ninazochukua humu basi hapa kitaani kwangu wananiogopa kuliko hata jiwe wenu
Ahaha
 
mm kwangu ndo sehem ya biashara kama sasahv nauza computer yangu ina smart hp monitor (slimmest ) inch 27 cpu ram2gb hdd 250gb(hp),keyboard (hp) mouse +mat (hp) na vga,powercable yake vyote ...bei 370k

nipo Dodoma Mjini picha znakuja..
bei laki 3 na 70 wakuu ila inashuka kiasi

0629330383 wasap 0752992703
 
JF ni kama mtaa wenye kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…