jamii forum

jamii forum

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
451
Reaction score
254
wadau mimi ni mgeni humu ila nimeanza kuifutilia na kusoma habari zinazo andikwa humu tangu 2013 mpaka nimeamua kujiunga mwezi huu wa pili kiukweli naipenda sana jamii forum kwa sababu kuna watu watu wanakinzana kwa hoja kikubwa nilichojifunza wakati nikiwa mtazamaji wa nje kuna watu washauri wazuri sana humu ila kuna watu pia wakatishaji tamaa kwa comment zao. ahanteni mtanisamehe kama kuna sehemu sijaeleweka vizuri kimandishi
kutokana na kuwa mgeni.
 
Karibu sana kijana wangu.

Samahani wewe ni mvulana au msichana?

Je wewe ni Bonny au Numbisa?

Ukishajibu uje nikuorodheshe kwenye daftari langu la ukaguzi.
 
Ndio nini
Kiswanglish hakiruhusiwi humu

Tokea 2013? Yaani inamaana imekuchukua miaka minne kutafakar na kudadavua ishu ya ku sign up duh

Sasa mtu akileta uzi ukataka uchangie si itakuchukua angAlau wiki kadhaa ukichambua na kudadavua uzi mmoja
 
Back
Top Bottom