bebii,,,
hebu anza kuangalia kuazia Afrodenzi, Preta, Lizzy..
nakushangaa wewe umeka picha ya kababy!! au ndio unapotray ubebii?
Huyu Bebii bado Yumo si alishaga wana jf?
Bebii Nitambulishe kwa Afrodenzi nimemuhusudu.
Nakusalimu AfroDenzi Natumai u Mzima Wa Afya Maana nakuona Ulivyo Mchangamfu,mkuu ningependa kukushukuru sana
kwa kupenda avatar zetu ......
mwehhh jamnai AD hang'ati waweza
kumsalimu tu .. anashukuru sana ...
na anauliza utamualika huo msosi
mmmhhhh
la nyumbani jingine(too naughty to write here i'm afraid)lolEti hilo ni jina lako
La nyumbani?
<br />nitajie tu mkuu nione uwiyano