WASIJARIBU KABISAAA!! Maana itakuwa controlled kila kitu na serikali na watataka tuverify majina yetu kwao na ndo itakuwa mwisho wa fake id. mwisho wa siku wataambiwa wahame kutoka .com kwenda .co.tz ili wafungiwe kirahisi kama mada zitolewazo zitaikwaza serikali na ccm yake.
jina naona halina shida...
wadaku ndo wanaona halina mvuto ni uvivu wa wabongo kutafuta page zenye kuelimisha ila ingekuwa imeka kiudaku hilo nyomi lake pasingetosha?
halaf sio watu wote ni great thinker
mtoa mada mwenyew nina wasiwasi nae
kila siku wewe tu unakuja na mada zisizo na kichwa tumekuvumilia angalau sasa umegundua upo hapa kimakosa rudi kwenye magroup yenu ya whazup ya waganga wa kienyeji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.