WASIJARIBU KABISAAA!! Maana itakuwa controlled kila kitu na serikali na watataka tuverify majina yetu kwao na ndo itakuwa mwisho wa fake id. mwisho wa siku wataambiwa wahame kutoka .com kwenda .co.tz ili wafungiwe kirahisi kama mada zitolewazo zitaikwaza serikali na ccm yake.