LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Naanza kwa kuwasalimia wote na kuwatakia kheri ys Chrismass na mwaka mpya ,nikirejea maada tajwa hapo juu Nikwamba juzi ulikua ukifungua thread yoyote unakutana na vimaua ( gift ) vinaanzia chini vinasambaa kwenye screen yaani mpaka raha ,kwa kua sikua na mia mfukoni vile vidude vilileta raha hapa jf na kunikumbusha kua ni msimu wa sikukuu.