Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mzee Jengua: "HAPA NI MJINI, UKIONA MTU ANAMEZA KITU AMBACHO HAJANUNUA BASI NI MATE YAKE MWENYEWE"
Cha msingi linda utu na legacy yako, hivyo vikisha tiki, then jifunze wengine wana fanya nini, kifanye ila katika utofauti unaoendana na matakwa na matarajio ya walaji.
Unapofanya vile vile kwa mategemo ya ku-share wateja, ni kweli watakuja watakukuta uko vile vile, then watarudia tabia yao ya zamani, wewe unabaki na mzigo wako.
Utofauti sio bei utafirisika, utofauti sio urembo wa duka jipya utawafukuza wale "wakawaida", ila utofauti ni kwenye huduma na kile unachomlisha mteja wako.