"tumeona matokeo ya kidato cha nne jinsi yalivyokuwa mabaya sana
na tujiulize kama matokeo ya kidato cha sita ya kitoka vibaya huko mtaani sijui kutakuwaje
kutkuwa na ongezeko kubwa la vijana wasiokuwa na kazi.
nijukumu la jamii na serekali kuliangalia hili jambo kwa macho mengi"
nani kasema kama form six huwa wanafeli wanapotezaga tu malengo ulipanga kuwa mwalimu unakuwa polisi acha woga,kama mtu aliweza kufaulu O LEVEL kihalali nina uhakika hata asiende A-LEVEL anaweza pambana na changamoto zinazomkabili