jamii inajiandaaje kupokea matokeo ya kidato cha sita

jamii inajiandaaje kupokea matokeo ya kidato cha sita

Cathbreez Calvin

New Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
1
Reaction score
0
tumeona matokeo ya kidato cha nne jinsi yalivyokuwa mabaya sana
na tujiulize kama matokeo ya kidato cha sita ya kitoka vibaya huko mtaani sijui kutakuwaje
kutkuwa na ongezeko kubwa la vijana wasiokuwa na kazi.

nijukumu la jamii na serekali kuliangalia hili jambo kwa macho mengi
 
"tumeona matokeo ya kidato cha nne jinsi yalivyokuwa mabaya sana
na tujiulize kama matokeo ya kidato cha sita ya kitoka vibaya huko mtaani sijui kutakuwaje
kutkuwa na ongezeko kubwa la vijana wasiokuwa na kazi.

nijukumu la jamii na serekali kuliangalia hili jambo kwa macho mengi"

nani kasema kama form six huwa wanafeli wanapotezaga tu malengo ulipanga kuwa mwalimu unakuwa polisi acha woga,kama mtu aliweza kufaulu O LEVEL kihalali nina uhakika hata asiende A-LEVEL anaweza pambana na changamoto zinazomkabili
 
wengi wao watafaulu na shule za serikali zitafanya vizuri
 
Wewe jua kwamba hata form 6 asipotoka anaweza pambana na maisha,elimu ya bongo ukifaulu maana yake ulichokipitia kilitoka kwenye mtian lakn inawezekana kabisa mambo mengne mtu hayajui,kameza
 
Back
Top Bottom