Jamii imekuwa na mtizamo wa tofauti sana kwa watumishi wa Mungu au watu wastarabu, jamii hudhani watu hawa wamesalimika na kukosea kitu ambacho huwapa wakati mgumu sana katika jamii wanapokosea.
Mfano ikitokea mtumishi kachepuka/kashikwa ugoni au mtu msatrabu kaiba, hizi mambo husababisha jamii iwatoe thamani kabisa watu hawa wakati nao ni binadamu kama sisi; wameumbiwa matamanio hivo wanaweza teleza na wakakosea.
Wakuu, tuifuteni hii dhana mbaya maana sote si wakamilifu hivo kukosea mara nyingi hutupata pasina kutarajia.