jamii kuanza mapenzi mapema

jamii kuanza mapenzi mapema

chadwik

New Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
4
Reaction score
0
jamanii naomba kuuliza swali ni kwanii jamii siku hizii huanza mapenzi mapema tofauti na zamani
 
Coz mtt atakapokua hua anafahamu nini mapenzi kabla ya kukuwa kwake
 
zamani za enzi zipi..., according to my historical knowledge (through vitabu na hadithi) bibi zetu walikuwa wanaolewa as soon as wana-reach mature age.., wengine hata under 18...

Kwahio mkuu naomba kukuuliza zamani zipi ?
 
vyakula vinaongeza hormone, full artificial, site za ngono, wazazi vijana ambao wamesahau majukumu yao
 
Back
Top Bottom