Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Mbona sivioni sasa kwenye hii thread au inaendelea?
Maswali pia mtoa mada anajibu kifupi kama yupo chooni.

Thread ndefu majb mafupi.
Uskasirike

Inaendelea vizuri tu. We uliza ujibiwe sio maswala ya kumpangia mtu kuwa majibu yawe marefu wakati hata maswali yaliyopo ni mafupi
 
Hehehe..hapo pagumu. Kuamini tu kuna life in other planets ni kazi sembuse hili la creation yetu. Hehehe..
 

uliishia apa
tupe mwenderezo
 
Mkuu hapo ndio mwisho..... Ni jinsi uhai ulivyoletwa kwenye sayari dunia.

Una-uhakika na hili ama ni moja kati ya zile ngonjera nyingi zianzoelezea kiini cha mwadamu kuja hapa dunia.

Maake wale wa mashariki ya kati zao wamezifile kwenye kitabu kinaitwa biblia,..waarabu wao wakakiita quaran,..etc etc

Wewe hizi tuzifile na tuiteje mkuu..?
 

Tuziite ngonjera
 
Huu uzi kidogo unashabihiana na ukweli. Kuna haja ya kujua zaidi kuhusu hii elimu na si kukumbatia tu dini ambazo hazina kichwa wala miguu
 

hadithi nzuuri sana ya kigiriki...wagirigi watatuuwa..hi naona haina mashiko sanaa kama ile inayosema palikuwa na mumgu anaeitwa TITAN..mungu huyo akawa na watoto watatu yaani ZEUS(mungu wa wanadamu) HEDES(Mungu wa underground ardhini) na PSEUDON(mungu wa kwenye bahari)..ikatokea wakaungana kumcrash babayao(TITAN)....(askakafiru)....hedes akaumba CRAKEN kama mtoto wake ili iwe silaha kupambana na babayao(titan)...ZEUS eti akaumba wanadamu ili apate nguvu na kuimarisha immotality yake kutokana na binaadamu wanavyo abudu ..eti that is begining of life..na kuna baadhi ya wagiriki vibabu wanaamini hadi leo...HIZI HADITHI JAMANI
 


rajabkisauti,Jiongeze kidogo
siyo Myth za Wagiriki.vyote Alivyovizungumzia aretasVimebase katika Nadharia ya Cosmozoic

Kama unaona Hizi ni Ngonjera,Basi soma Hapa
HAPA
 
Last edited by a moderator:
rajabkisauti,Jiongeze kidogo
siyo Myth za Wagiriki.vyote Alivyovizungumzia aretasVimebase katika Nadharia ya Cosmozoic

Kama unaona Hizi ni Ngonjera,Basi soma Hapa
HAPA

Cosmozoic theory ni theory iliyoingizwa katika hizo theory za origin of Life..katika criticism zake moja wapo ni kwamba imebaze katika myth..tena mimi haitakiwi kuwepo katika mfululizo huo kabisa..sababu haijasema chanzo cha life ya hao extraterrestial creature. total MYTH mhsmiwa eistern.
 
Last edited by a moderator:

Well.
What About Evolution,Rajab?Nayo ni Myth?
 
Well.
What About Evolution,Rajab?Nayo ni Myth?

Alafu cosmozoic thery sio evidence ya evolution...hii ni evidence ya origin of life..kuna baadhi ya theory kama spontaneous theory iko fresh weaknes chache...ila sio kwa sababu cosmozoic theory ni myth bass leson nzima ya evolution itakuwa myth NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…