Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatengeneza hitimisho kutokana na makosa ya watu kufikiri matokeo yake na wewe unaonekana wa ajabu sana.....
Kwanza unapaswa kujua maana ya Mungu ndio ujue haiwezekani kukawa na miungu wawili au zaidi....
Pili,kukiwa na watu watano,wa kwanza anasema mlima Kilimanjaro upo Madagascar,wa pili akasema upo Mauritinius,wa tatu akaema upo Wales,wa nne akasema upo Tandahimba na wa tano akasema upo Tanzania mkoa wa Kilimanjaro basi kutakuwa na milima mitano ya Kilimanjaro?
Fikiri kijana .....
Kwahiyo jumla wako wangapi hao Mungu?
Mi kwa upande wangu Mungu ni mmoja, ila sio yule mzee mwenye madevu anayehubiriwa na hizi dini zao. Yule ambae amekaa kwenye kiti kusubiri kuwachoma moto watu huyo HAYUPO! Zile ni hadithi tu za kale.
Kuhusu madhehebu kuwa mengi ni kutafuta sadaka tu wala hakuna la zaidi.
Kuna uzi mmoja mchangiaji alimuita malkia wa malkia ila niliuliza kama kuna mfalme pembeni yake ndo sijapewa jibu mpaka leo
Kama huyo mungu wao yupo na wanamdhalilisha hivo alafu anapiga kimya, basi ujue amejikaza kisabuni 😀
teh teh teh mungu malkia
Ok... ninavyojua mimi mungu maana yake ni kitu/kiumbe chochote ambacho unakiamin,kuabudu na kukitukuza kwa kuamini kuwa kina mamlaka na uwezo wa juu kuliko wewe...ambacho kinauwezo wa kutatua maisha yako.
na ndio maana wengine wanaamin mawe,mito,milima,ng,ombe,bahari,watu, n.k
Hujaniambia jumla wako wangapi mkuu! Hebu piga hesabu unipe jibu basi
Ndio maana hata wakitutembelea tutaanza kuwaita mungu, shetani, pepo, muujiza nk.
Kama wao kipindi hicho walishaweza kuzuia kifo cha uzee, huoni sasa watakua na technology ya kutisha?
Mfano sisi tuweze kupandikiza uhai kwenye sayari ya mars alafu turudi duniani, baada ya maelfu ya miaka tuende kuwatembelea wanetu ambao hawatujui unategemea watatuitaje kama sio watasema mungu amewatuma malaika zake?
Ndio. Watasema hivyo japo itakuwa si kweli, hiyo itatokana na uchanga wa technology yao/kukosa maarifa.
Upo sawa mkuu Eiyer ila unaonaje kama ungejibu hoja kwanza alafu ukatoa na hiyo mifano ya milima isiyoendana na maada yenyewe ili uoneshe kuwa na wewe ni tofauti na wapumbavu waliotangulia?
Unajua maana ya "quote"?
Mimi nimequote post yako na ndio niiyoijibu,sasa unataka nijibu mada ipi?
Halafu unajua tofauti ya maada na mada?
By the way,mwenye mada nimemuuliza swali hajajibu mpaka sasa,unataka nijibu kipi?
elimu kuhusu dunia na ulimwengu zaidi uijuavyo,zaidi ya ulivofundishwa shule,zaidi ya ulivyo simuliwa na watu wa dini,zaidi ya ulivyosoma machapisho mbalimbali ya watafiti na wanasayansi na zaidi ya ulivyo simuliwa na wazee wako wako wa ukoo.
TOMJell Nimejaribu Kupitia Ezekiel 1_.. Nimewasoma Hao Viumbe Nimekosa Jibu Kama Ulipta Majibu Ama Kuna Mweny Ufafanuz Atujuze, Pia Back To The Mada Najaribu Kujiuliza Kama Si Ni Jamii Ya Hao Viumbe Kwa Nin Bado Tuko Nyuma Hasa Waafricanafkiri mkuu umetafakari na umeenda mbali sana had umeamua kusema ivo.
TOMJell Nimejaribu Kupitia Ezekiel 1_.. Nimewasoma Hao Viumbe Nimekosa Jibu Kama Ulipta Majibu Ama Kuna Mweny Ufafanuz Atujuze, Pia Back To The Mada Najaribu Kujiuliza Kama Si Ni Jamii Ya Hao Viumbe Kwa Nin Bado Tuko Nyuma Hasa Waafrica
Ahsante kwa masahihisho mkuu Eiyer pale ilitakiwa iwe mada badala ya maada
na pia nashukuru kwa quote post yangu na kuuliza maswali ambayo ilibidi umuulize mtoa mada...hebu jaribu tena kurudi kwenye quote yako alafu uje uniambie ulichouliza alipaswa aulizwe nani...ili uthibitishe upumbavu wako#
Unatengeneza hitimisho kutokana na makosa ya watu kufikiri matokeo yake na wewe unaonekana wa ajabu sana.....
Kwanza unapaswa kujua maana ya Mungu ndio ujue haiwezekani kukawa na miungu wawili au zaidi....
Pili,kukiwa na watu watano,wa kwanza anasema mlima Kilimanjaro upo Madagascar,wa pili akasema upo Mauritinius,wa tatu akaema upo Wales,wa nne akasema upo Tandahimba na wa tano akasema upo Tanzania mkoa wa Kilimanjaro basi kutakuwa na milima mitano ya Kilimanjaro?
Fikiri kijana .....
Unafikiri kuwa sielewi nilichoandika kijana?
Mtoa mada kazungumza kuhusu kuwepo kwa miungu wengi?
Mtoa mada kasema alishauliza watu kuhusu maana ya Mungu?
Nioneshe kwenye mada mahali kwenye masuala hayo nitajua unajielewa.....!!