Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Wapi muzungu atengeneze movie ya ugomvi kati ya humanoi na hao reptoid!! Hii forum ina raha yake! (Just joking..)

Ingawa nimezaliwa kwenye familia inayoamini dini siwezi kupuuza theories nyingine eti kisa zinapingana na dini. Nitazisoma na kama zina maana nitaziamini.

Hii theory kama in ukweli fulana hivi nahisi ndio maana binadamu sie (drscendants wa Humanoid according to mtoa mada) tunafanya juu chini kusoma universe na kuangalia uwezekano wa maisha sayari nyingine kama Mars.
 
Unatakiwa uwe muwazi tunajua maagent si true tu Bali mko wengi unaweza kujifanya mchangiaji kumbe mwenzie mea sababu umekuwa mwepesi kumsapoti luxgsm ya kwamba hajajibu maswali yetu hapo juu hakuna cha humanoids wala reptonoids bali malaika waasi wakiongozwa na lucifer mwenyewe na wanasubiri hukumu yao na kwa wanajaribu kutafuta wary wa kwenda mal motoni na ili kufanikisha hilo wanasambaza uongo juu ya Mungu wa kweli kupitia mawakala wa kibinadamu ambao mmojawapi ni mtoa mada na walengwa ni wale wote wakaokubaliana nae. TAKE CARE
 
Miaka iliyopita kanisa lilimhukumu Gallilee kwa kueneza uongo kuwa dunia ndio inalizunguka jua... lakini leo wamegundua kati yao na galileo nani muongo, wapo walioamin kuwa mwezi ni mtakatifu lakini kuna walioenda na kuukanyaga na mabuti yao licha ya utakatifu wake.

kuna mwanafalsafa mmoja alisema... MWISHO WA UPEO WAKO WA KUFIKIRI NDIYO MWANZO WA MATATIZO YAKO, Na kuhusu kufikiri binadam tunatofautiana... na mtu yeyote mwenye uwezo wa juu wa kufikiri lazima apewe na jina maalum kama genous,mtume,nabii,mchawi,mungu,shetani n.k

Tatizo kubwa hapa dunian ni uwezo wa kufikiri tu ambao huwafanya masikin na matajir, wenye hekima na wapumbavu, viongozi na waongozwaji n.k
na wengi wao huangamia kwa kukosa maarifa...
 
Miaka iliyopita kanisa lilimhukumu Gallilee kwa kueneza uongo kuwa dunia ndio inalizunguka jua... lakini leo wamegundua kati yao na galileo nani muongo.
wapo walioamin kuwa mwezi ni mtakatifu lakini kuna walioenda na kuukanyaga na mabuti yao licha ya utakatifu wake.
kuna mwanafalsafa mmoja alisema... MWISHO WA UPEO WAKO WA KUFIKIRI NDIYO MWANZO WA MATATIZO YAKO, Na kuhusu kufikiri binadam tunatofautiana... na mtu yeyote mwenye uwezo wa juu wa kufikiri lazima apewe na jina maalum kama genous,mtume,nabii,mchawi,mungu,shetani n.k
Tatizo kubwa hapa dunian ni uwezo wa kufikiri tu ambao huwafanya masikin na matajir, wenye hekima na wapumbavu, viongozi na waongozwaji n.k
na wengi wao huangamia kwa kukosa maarifa..QUOTE]
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia . Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa. Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.
 
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia .

Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa.

Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.
 
Mkuu kwa sasa hivi technology yetu duniani imeenderea, kwa nn tusipange safari ya kwenda kuwachukua hivyo viumbe vilivyotuumba na kuwaleta duniani wakasibitisha uumbaji wao. Hizi novel zingine kama LEGEND OF THE SEEKER.
 
Shetani akitaka kudanganya watu anaanza kwanza kumdanganya kwanza kiongozj au mtu mwenye ushawishi. Sasa hv anafanya bidii kuanzisha vyanzo Vingi vya uongo mfano,1. Theory of evolution of man . Ndugu zangu mpaka sasa ipo biblia ya Shetani ambamo kumejaa uongo mwingi na nina mashaka na huyu mtoa mada atakuwa amenukuu ujumbe huu kutoka ktk biblia hiyo ya shetani ndio maana a.anaogopa kutaja chanzo cha habari zake. Ingia Google play store andika satanic bible mtaiona hiyo bible ya lucifer ambayo imeandaliwa na freemason na huyu mtoa mada nina mashaka nae mkiingia kichwa kichwa mtamezwa.

Shetani ni nani mkuu?
 
Japo Duniani kuna Elimu nyingi sana Ila tuelewe kuna pande kuu mbili tu yaani GIZA na NURu. Tuna uhuru wa kuchagua. Ni vema kuzielewa vema pande zote mbili kisha kuchagua upande ulio sahihi. Ahsante mtoa mada.
 
Mkuu mbona mada yako ina ukakasi mwingi mpaka inatia uvivu kufuatilia huu uzi? Hizi ni hadithi za kiimani labla?

Unasema kuna viumbe walikuja duniani, okay, walitoka wapi? walifikaje duniani? lini? hapa duniani walifikia eneo gani? je kuna ushahidi wa kimazingira, kiakiolojia au kihistoria unaoweza kuthibitisha kwamba walitua sehemu hiyo?
Mbona vifungu vya bible unavyovitoa viko tofauti na maelezo yako kama huo uongo umeandika hapo kuhusu mnara wa babeli? unasema wanefili walikua wanakula nyama ya watu .....teh teh teh, unajua hata maana ya hilo neno Nefilim?
Ukweli hauchanganywi na uongo, ukiuchanganya hata kama ni kwa asilimia ndogo sana utakua uongo tu, say Ukweli 98% na Uongo 2% =UONGO

Maelezo yapo kwenye uzi
 
Miaka iliyopita kanisa lilimhukumu Gallilee kwa kueneza uongo kuwa dunia ndio inalizunguka jua... lakini leo wamegundua kati yao na galileo nani muongo.
wapo walioamin kuwa mwezi ni mtakatifu lakini kuna walioenda na kuukanyaga na mabuti yao licha ya utakatifu wake.
kuna mwanafalsafa mmoja alisema... MWISHO WA UPEO WAKO WA KUFIKIRI NDIYO MWANZO WA MATATIZO YAKO, Na kuhusu kufikiri binadam tunatofautiana... na mtu yeyote mwenye uwezo wa juu wa kufikiri lazima apewe na jina maalum kama genous,mtume,nabii,mchawi,mungu,shetani n.k
Tatizo kubwa hapa dunian ni uwezo wa kufikiri tu ambao huwafanya masikin na matajir, wenye hekima na wapumbavu, viongozi na waongozwaji n.k
na wengi wao huangamia kwa kukosa maarifa..QUOTE]
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia . Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa. Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.

Unajitahidi kuonyesha kuwa wewe na kanisa mpo sahihi kila msemacho.
Hii sio karne ya kuwadanganya watu eti kuna moto mara salimisha maisha nk. Karne hii ya 21 ukimwambia mtu kitu anachuja na kuangalia cha maana ni kipi na ambacho sii cha maana.

Alafu naona wewe humwani kwa kuwa yupo, unaamini kwa kuwa umeambiwa kuna moto.
 
Mkuu kwa sasa hivi technology yetu duniani imeenderea, kwa nn tusipange safari ya kwenda kuwachukua hivyo viumbe vilivyotuumba na kuwaleta duniani wakasibitisha uumbaji wao. Hizi novel zingine kama LEGEND OF THE SEEKER.

Tutawezaje kwenda galaxy nyingine ilihali hii ya kwetu yenyewe hatujaitembea hata 001% asilimia?
 
Uzi mzuri. Mtoa mada endelea kutiririsha nondo achana na waliogandishwa akili.
 
Kuna Maswal Matatu Hapa Hayajapata Ufafanuz Ngoja Niyaweke Pamoja Iwe Rahis Mtoa Mada Kuyajibu
1: Tunaomba Chanzo Cha Hizi Habar
2:kiongoz Wa Hao Viumbe Ni Nan
3:hiz Record Zilikusanywa Na Nan Na Kwa Nin Tuziamin
kama Hao Ni Ndugu Zetu Kwanin Hawana Ushirika Wa Wazi Na Sis Wakat Wao Ndo Walituleta Dunian Ina Maana Tumetelekezwa#ukijbu Haya Kwaniab Ya Wenzangu Ntashukuru

Naona Hili Swali Limepitwa Mleta Mada Tujbu
 
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia .

Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa. Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.

Hapo zaman walim wa dini na makadinal waliamin kuwa jua ndilo linalozunguka dunia, kutokana na maandiko. soma biblia :Mwanzo 1:3~5, 14~18. hivo kutokana na maandiko waliamin Mungu kuumba mianga miwili, ambao mmoja humulika mchana na mwingine usiku na pia waliamin kuwa suala la usiku na mchana linatoka na mungu kuweka hii mianga ila sio dunia kujizungusha kwenye mhimili wake/earth rotation

Galileo alianza kuamini nadharia ya Copernican mwishoni mwa karne ya 16. Nadharia hiyo inasema kwamba dunia huzunguka jua, na si jua kuzunguka dunia. Alipotumia darubini yake mnamo mwaka wa 1610 kuvumbua magimba ya angani ambayo hayakuwa yamewahi kuonekana, Galileo alisadiki kuwa amethibitisha ukweli.

Wanatheolojia wa Mahakama ya Kuhukumu Waasi ya Roma walisema kwamba nadharia ya Copernican ?ilikuwa ya kipumbavu, ya kipuuzi na ya uasi, kwa sababu ilipingana kwa njia nyingi na maana ya neno kwa neno ya vifungu fulani vya Maandiko Matakatifu, jinsi wengi wanavyoyaelewa

Kesi hiyo ilianzaje? Galileo aliandika kitabu kiitwacho Dialogue Concerning the Two Chief World Systems ambacho kiliunga mkono nadharia ya Copernican. Mwandishi huyo aliagizwa afike kwenye mahakama hiyo mnamo mwaka wa 1632,lakini alikawia kwa kuwa alikuwa mgonjwa na umri wake ulikuwa karibu miaka 70.

Mwaka uliofuata, alisafiri hadi Roma baada ya kutishwa kwamba angefungwa na kusafirishwa kwa nguvu. Kwa amri ya papa, alihojiwa na hata kutishwa kwamba angeteswa kwa kuendeleza uongo wake huo. hii ni story ndefu sana ila nimeamua kukupa kidogo ili unielewe nachozungumza hapa,

NB: samahani sana Mkuu IZAMA naomba uchukue hayo maneno yote uliyoandika na ujaribu kuyaweka katika sentensi moja inayoleta maana,
 
Last edited by a moderator:
Injili ya wapi hiyo? Nyakati hizi Injili ziko za aina nyingi sana, nyingine za kuchanganya kama hiyo.

Hata hivyo, asante kwa elimu mpya.

Vv
 
Mleta uzi na wachangiaji wote naona mnanichanganya tu.... Aagghh!!!!
 
Mbona niliweka yote imekuwaje ipo nusu?
Any way.... Ngoja niiendeleze hapa hapaa

Ni ndani ya mfululizo huu alimozaliwa binadamu....

Uhai hapa duniani uliletwa kutoka katika Constellation ya Lyra. Hawa viumbe wa Lyran Humanoids ni Wenye bidii sana katika kueneza uhai ulimwenguni miongoni mwa Jamii za Humanoids. Viumbe hao ndio waliuhamisha uhai wa kimazingira (environment ecosystem) kutoka sayari yao kwa maana ya mimea, wanyama, hewa yenye bacteria nk kupitia vyombo vyao vya anga za juu vilivyojulikana kama Makerubi. Waliandaa mazingira vizuri na kuotesha uhai wote wa kiikolojia. Kama desturi ya nyakati zote waliwafanyia cloning watoto wawili wadogo mmoja wa kiume na mwingine wa kike kutokana na jamii yao ili waweze kuwiana vya kutosha na mazingira yao mapya ya maisha.
Viumbe hawa waliwaandalia mazingira mazuri ya kuishi ndani ya bustani na kuwaweka humo. Watoto hawa wadogo walihitaji usimamizi mwingi kutoka kwa Wazazi wao na kwa hiyo, viumbe hawa wa Lyrans waliwatembelea hapa na pale ili kuangalia makuzi yao. Hatimaye waliridhika kwamba ni watu wazima na hivyo wakawakabidhi rasmi utawala wa dunia kama sayari yao.
Ugomvi mkuu waibuka baina ya Humanoids na Reptoids.
Muda mchache kabla ya Lyrans kupanda uhai duniani ugomvi mkubwa ulikuwa umetokea baina ya Jamii hizi mbili yaani Humanoids wa Lyrans na Reptoids wa Alpha draconians. Ugomvi huu uliletwa na Reptoids wa Alpha draconians waliotaka kuzimiliki baadhi ya sayari za Humanoids wa Lyrans ziwe makao yao ya kuishi. Viumbe hawa walikuwa katika galaxy moja japo nyota mbali mbali. Reptoids hawa wa Alpha walipoiona sayari ya Bila walivutiwa kabisa na mazingira yake nao wakawa wamenuia kabisa kuichukua sayari hiyo. Humanoids hawa wa Lyrans waliomba kwanza kuwajua vizuri kabla ya kukubali ombi lao kwa kuwauliza swali kwamba tungependa kwanza tuwajue vizuri, je ninyi ni watu wa aina gani?
Swali hili lilipokelewa kama kauli ya kukataliwa na matokeo yake ndani ya muda mfupi walizusha vita kubwa dhidi ya sayari hiyo ya Bila sayari ambayo ilikuwa imewavutia sana Reptoids hawa. Ndani ya muda mfupi sayari tatu miongoni mwa sayari kumi na nne za Humanoids wa Lyrans zilikuwa zimeharibiwa vibaya sana. Sayari zilizokuwa zimeharibiwa ni Bila, Teka na Merok. Humanoids wa Lyrans walikuwa ni wakulima, hawakuwahi kujishughulisha na silaha za maangamizi, walikuwa ni viumbe wapole sana,hawakuwahi kujishughulisha na vita ya aina yoyote. Kwa hiyo waliangamizwa sana. Msaada mkubwa wa katika vita hiyo uliletwa na Humanoids wanaojulikana kama Arcturians. Humanoids hawa wa Arcturus wana upendo sana, wameboresha sana teknolojia yao kwa ajili yao lakini zaidi sana kwa ajili ya jamii zingine. Kwa hiyo pia hujulikana kama Walinzi wa mbingu. Humanoids hawa wa Arcturians walipoingia katika vita hiyo waliwaangamiza vibaya sana wale Reptoids hao wa Alpha draconians na kuwafanya wakimbie kurudi kwao wakiziachia sayari hizo walizokuwa wamezishikilia. Ni katikati ya uhasama huo Reptoid mmoja alipojipenyeza hadi bustanini walimokuwa binadamu wa kwanza na kuamua kuwachochea kinyume cha Wazazi wao hao wa kimbingu. Ni kweli kwamba mambo mengi bado Wazazi hawa wa kimbingu wa wanadamu walikuwa hawajawaeleza bado, hii ni busara kabisa kutowaeleza mambo yote nje ya kiwango chao cha kustahimili. Lakini hili likatumiwa vibaya na draconian huyu kwamba Wazazi wao hao wa kimbingu hawakuwapenda wala kuwatakia mafanikio makubwa. Muunganiko huu wa binadamu na adui zao uliahirisha zawadi nyingi nzuri walizokuwa wapendelewe na Wazazi wao, mojawapo ni zawadi ya uhai wa milele. Zawadi hii ilitokana na jamii ya miti yenye kuleta uzima usio na kikomo. Kama nilivyoandika Jamii hii ya Humanoid Lyrans ni Jamii ya wakulima kwa hiyo muda mrefu walishagundua miti yenye kuboresha uhai wa mtu ambaye hajafanyiwa cloning ya uhai. Kwa hiyo walimuondolea zawadi hii kusudi asije kuutumia uzima wa milele vibaya kinyume na Wazazi wake. Na hivyo uhai wa milele wakaamua kuuweka miongoni mwa gharama za Mamlaka ya Nafsi, badala ya kuwa zawadi isiyogharimiwa.
Draconian huyu alipogundua kuwa amegundulika alitoroka na kurudi kwenye himaya yao ya Alpha draconians na kuwaeleza kile kinachoendelezwa hapa duniani na humanoid wa Lyrans na ubora wa sayari hii kama makao ya kuishi. Hivyo viumbe hao wa Reptoids wakaja kwa wingi wao pamoja na watumwa wao wa Zeta Reticulians ili kuwaangamiza Lyrans hao waliokuwa duniani na kuwaangamiza pia na binadamu ili kulipiza kisasi na kuichukua sayari hii. Lakini zoezi lao hilo halikufanikiwa kwa sababu kumbe viumbe wa Arcturians walishaweka kituo chao kisichoonekana cha ulinzi wa anga hizi za chini. Kituo hiki kisichoonekana kinachojulikana kama Athena, kipo Kati ya anga ya sayari ya Saturn na Jupiter. Reptoids hao wa draconians bila kujua uwepo wa kituo hicho waliangamizwa kabisa. Hivyo mpango wao wa maangamizi haukufanikiwa. Hata hivyo Reptoids hao waliobakia bila madhara walikimbilia duniani na kuwaambia Arcturians kwamba endapo watawafuatilia zaidi basi wao watawaeleza binadamu siri nyingi zaidi za ulimwengu, jambo ambalo binadamu alikuwa hajakomaa kuelezwa. Kwa hiyo Arcturians wakaamua kuwaacha wakae duniani bila kubughudhiwa tena. Arcturians wakawaacha maadamu hawana tena madhara ya kuangamiza Jamii ya binadamu. Hata hivyo Reptoids hao wala nyama walianza kuleta ghasia duniani kwa kutawala wanadamu kwa ukatili na mateso na kula nyama za wanadamu. Kipindi hicho katika historia ya wanadamu ndio chanzo cha masimulizi kuhusiana na Manefili pamoja na Mazimwi wala watu. Huo ukawa mwanzo wa binadamu kula nyama na kutoa Sadaka za binadamu
Ujio wa Humanoids wa Pleiades hapa duniani
Miaka mingi baadaye, wanadamu wakiwa wameongezeka duniani. Yapata miaka elf kumi iliyopita, kulitokea ujio wa viumbe wengineo wa Jamii ya Humanoids kutoka galaxy ya Pleiades. Viumbe hao ni watoto wa Lyrans kama ilivyo kwa binadamu. Kwa hiyo ni kana kwamba walisafiri hadi duniani ili kuona hao ndugu zao wa kibinadamu ni watu wa namna gani. Humanoids hawa waliishi duniani kwa muda mrefu kabisa na hata wakaamua kuishi kinyumba na mabinti za wanadamu na kuzaa nao watoto. Kwa vile ingawa viumbe hao ni kutoka sayari tofauti lakini ni specie moja tu ile ile ya anga nyingine, ndio maana waliweza kuzaa watoto. Hadi leo wanasayansi wanakubali kwamba kuna genetics mpya iliingia ghafla miongoni mwa binadamu. Genetics hiyo inapatikana wa ukanda wa Kaskazini mwa dunia. Kwa wenyeji wa Scandinavia, Sweden Na Norway. Wana wanakubali kwamba genetics hiyo iliingia ghafla katika Jamii ya binadamu miaka elfu kumi iliyopita. Wazazi wao kutoka Lyrans wakaamua kuwaangamiza wote watatu, kwa gharika ya maji yaani Terrans, Pleiades, na draconians. Kasoro tu kuhifadhi mbegu chache za wanadamu na wanyama.

Haki ya nani nimeganda kama nyamafu! Hapa nakiri kwa kinywa nimeblow mapigo
Kweli mimi sijui kitu kuhusu elimu hizi za unajimu
 
sometimes maelezo ya mshana yanakuwaga na ukweli kiasi.
 
Back
Top Bottom