Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi.

Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka hiyo lakini mpaka yamekuwa ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom