Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Link hii hapa ifuatie mwenyewe:-
View: https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
urasi ni Imani unatafakarije bila kuchoma kwanza. Wewe sio rasi , ni mfuga nywelehii ni jamii ya wavuta bangi, sio kila rasi ni smoker mfano halisi ni mimi😜
imeniuma sana dadequrasi ni Imani unatafakarije bila kuchoma kwanza. Wewe sio rasi , ni mfuga nywele
kwanza maras wengi ni wachafu😏Yaani kama umesuka dread halafu hauvuti bange, wewe siyo rasta bali ni mrembo (model) tu
hadi chooni de rasta ndio iconce de babilonRaha ya bange uvute kwa mafichoni soyo openly
Unachanganya kua Rastafarian na kua na nywele za rasta,kwanza maras wengi ni wachafu😏
wew ni yupi kati ya hao wawiliUnachanganya kua Rastafariana na kua na nywele za rasta,
Mfano Afande Sele ana rasta ila sio rastafarian.
Nitakupigia simu nikufahamishe hilo,wew ni yupi kati ya hao wawili
nilibadili Simu ila namba ni ile ile😄Nitakupigia simu nikufahamishe hilo,
Au ulibadili ile namba yako?