Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

Jamaa wanasema mnaruhusu ushoga ila bangee mnazuia nyie ni wapuuzi
 
hii ni jamii ya wavuta bangi, sio kila rasi ni smoker mfano halisi ni mimi😜
Yaani kama umesuka dread halafu hauvuti bange, wewe siyo rasta bali ni mrembo (model) tu
 
Wameenda mahakamani wakiwa wameshavuta au kabla? Kama walikuwa wamevuta ikishatoka kichwani hawatakumbuka walienda mahakamani!
Mmoja wa viongozi wao ni mwanamke wa makamo, anasema ana miaka 60
 
Unachanganya kua Rastafarian na kua na nywele za rasta,
Mfano Afande Sele ana rasta ila sio rastafarian,
Rastafarian ni dini,ni imani ya dini ya Abrahamic religion.
Hata Lucky Dube (RIP) hakuwa rastafarian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…