joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, basi hata hao mijikenda pia ni njaa na sio tamaduni. Soma post yangu kabla ya hiyo uliyo reply, tatizo lenu ninyi wakenya linalowafanya majirani zenu wawatenge ni ubinafsi na kupenda kila kitu kizuri kiwe chenu.That was different. Hawa watanzania walikuwa wakila panya (na wengine viwavi jeshi), not out of choice, km eti ni chakula chao cha kimila; bali ilikuwa ni kutokana na ukosefu wa mlo.
Mwishoni mwa mwaka jana Wakenya fulani kutoka Turkana waliripotiwa kuwafanya mbwa kuwa kitoweo kutokana na baa la njaa, likawa ni trending topic humu. Watz hawangesita kutukumbusha hayo kila tukiweka topic nzuri kuhusu yanayojiri nchini Kenya. It's tit- for - tat baby. stop being a crybaby.
Sasa sisi huku toka tunazaliwa tumekua tukitumia panya panya kwa jina la samaki nchanga, Malawi ndio chakula chao kikuu. Ninyi mlikua mnapinga kwamba hakuna kabila Kenya wanaokula panya, sasa hivi unageuza na kusema ni tofauti kula panya Kenya na Tanzania.
Ila tunawajua ninyi mlivyo na ubinafsi, Tanzania ikikataa vifaranga toka Kenya kwasababu havijapitia njia halali kwenu mnalalamika, ila Kenya ikishika bia za Tanzania zilizoingizwa Kenya mnasema ni sawa kwasababu hazijaingizwa nchini kihalali..., the list is long.