Jamii ya Mijikenda wala panya

Hahahahaha, basi hata hao mijikenda pia ni njaa na sio tamaduni. Soma post yangu kabla ya hiyo uliyo reply, tatizo lenu ninyi wakenya linalowafanya majirani zenu wawatenge ni ubinafsi na kupenda kila kitu kizuri kiwe chenu.

Sasa sisi huku toka tunazaliwa tumekua tukitumia panya panya kwa jina la samaki nchanga, Malawi ndio chakula chao kikuu. Ninyi mlikua mnapinga kwamba hakuna kabila Kenya wanaokula panya, sasa hivi unageuza na kusema ni tofauti kula panya Kenya na Tanzania.

Ila tunawajua ninyi mlivyo na ubinafsi, Tanzania ikikataa vifaranga toka Kenya kwasababu havijapitia njia halali kwenu mnalalamika, ila Kenya ikishika bia za Tanzania zilizoingizwa Kenya mnasema ni sawa kwasababu hazijaingizwa nchini kihalali..., the list is long.
 
Inafaa wapikwe mahotelini pia, iwe kama tunavyokula Pweza na Chaza.
Kule vietnam ni staple food, wanauzwa kwa mahoteli na vibanda, ukitembea huko kama mtalii, kula hao panya buku ni mmojawepo wa kivutio







-----
Huku Kenya wakiuza mahotelini, ni wauze hoteli za huko zinakoliwa tayari, ila isiuzwe mahali kama Nairobi, wakija Nairobi, wauzaji watakua wanashika wale panya wa nyumbani na kuuzia wateja, kama wanaweza kuuza sambusa za nyama ya paka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…