Jamii ya Twitter "jiandaeni kisaikolojia "

Jamii ya Twitter "jiandaeni kisaikolojia "

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Courtesy: Elon musk tweet _03 November 2022
IMG_20221104_184919.jpeg
 
Wafanyakazi wote wa Twitter wamefungiwa email zao zote
Asilimia zaidi ya 50 kufukuzwa.....na hii imejenga moral response kutoka makampuni makubwa yanayo tumia Twitter kwa matanganzo......

Kilichotokea hadi sasa ni makampuni makubwa duniani yafatayo yamejitoa Twitter...
Audi
General Mills
General Motors
Pfizer
Mondelez International
Volkswagen
Hyundai
Domino's Pizza
Nintendo

Kinachomsumbua Elon ni big ego

Back
Top Bottom