Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Huwa najiuliza ni lini serikali itapiga marufuku huu upuuzi. Au mpaka yatufike kama ya Kule Kilifi, Kenya? Then it will be too late. Mbona hao wahubiri wakitaka magari hayashuki from nowhere bali wanataka michango ya wafuasi wao??
Kwani kilichotokea moshi mpaka
Watu kukanyagana hadi kupoteza
Uhai....si yale yale tu na ya huko kenya

Ova
 
Huwa najiuliza ni lini serikali itapiga marufuku huu upuuzi. Au mpaka yatufike kama ya Kule Kilifi, Kenya? Then it will be too late. Mbona hao wahubiri wakitaka magari hayashuki from nowhere bali wanataka michango ya wafuasi wao??
Hao hao manabii leo hii ni wageni rasmi huko bungeni

Ova
 
Acha wajinga wapungue
 
Kichwa cha habari kitaje wakristo weusi.
Uko sahihi. Huwezi kupeleka upuuzi huu Kwa mfano Ujerumani wakakusikiliza. Tunajidhalilisha mno. Tuna akili mgando sijapata kuona mfano wake! Mtu unaambiwa funga kula chakula mpaka ufe ili ukutane na Yesu na unakubali😁 Fundisho Gani Hilo? Mungu aliposema USIUE alimaanisha pia USIJIUE. You are guilty of murder Kwa Nafsi yako mwenyewe. Nasubiri nione serikali yangu tukufu itachukua hatua gani kudhibiti huu upumbavu. Nasikia Kuna mhubiri ametiwa mbaroni huko Kenya ambaye alikuwa mbioni kuja kuhubiri Dodoma. Nadhani nae Hana tofauti na yule aliyewafungisha watu mpaka wakafa. Serikali iwe macho. Uhuru wa kuabudu una mipaka yake.
 
Ni rahisi sana kum brainwash mtu mweusi
 
Hao hao manabii leo hii ni wageni rasmi huko bungeni

Ova
Hapo ndipo hatari kubwa inapokuja. If they will succeed to infect the Authorities itakuwa balaa kubwa sana. Dada Tulia Nina Imani kubwa na wewe. Be on your watch kukemea infiltration ya kishetani kupitia muhimili tuliokukabidhi uusimamie.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]duh


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…