Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Ni shida kwa kweli [emoji28]
My sista mpk namuonea huruma aseeh
Kwa kupenda hao wenye miujiza alitoka Kwa suguye,mwamposa,baadae kuhani Mussa mara sijui lusekelo yaani wote kawamaliza but still Yuko vile vile
Juzi ananiambia hivi ujue wapo manabii wanafufua watu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikaitikia tu maaana namheshimu and I love her huwa sitamani kumkwaza even a bit
Tv yake ikifka saa tatu usiku mwamposa,mchana suguye
Yaani 24/7 ni hao hao tu
Nikiwa kwake namuambia bestie naomba niyaangalie ya Dunia kidogo,[emoji2][emoji2][emoji3526]
Sasa siku Moja kaniambia Kuna mchungaji anataka aende huyo unatoa laki sita za kibongo anakuosha anatoa nuksi ,mikosi n.k,anatafuta pesa aende hukooo akaoshwe nikaitikia tu nkasema okay mradi mambo Yako yaende ila moyoni Sasa nasema daahhh hii shidaa hii

Honestly natamani wakristo wabaki na madhehebu Yao ya asili makuu Yale Yale ,RC,Lutheran,Anglican , Adventist na Pentecostal baasi kungine ni usanii mtupu


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahah huu ujinga ni above the sea level
Ningewaamini Hawa manabii wangeweza mtibia mama yangu mzazi maana alivoanza kuumwa akawa anaenda Huko enzi zile Kwa mchungaji "Salu",Lusekelo na Kakobe ila nothing happened hakupona Wala Nini... she has gone to heavenly abode

The day before hajafa aliwaambia dada Zake na kaka zake niiteni mchungaji wangu wa Anglican Mtweve akaja ,akamuombea Sala ya Toba
Toka hapo siwaamini na sitawaamini abadani asilani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la watu weusi ni kutotaka kufanya kazi kwa bidii. Umaskini umedumaza akili za watu wengi sana.
Miujiza ipo na Mungu yupo. Ila maandiko matakatifu yanatukumbusha tufanye kazi kwa bidii.
Hizi program za kupanda mbegu kanisani zinaumiza sana watu wengi.
 
Wahuni tu hao aisee. Sema nawaza namimi siku moja nitafte nyumbu wangu nipite nao 😀😀😀 maisha hayawezi kuwa magumu hivi
 
Kwahiyo mlienda watatu kanisani kila mtu na gari lake?
 
Sio makanisa yote yanafanya mazingaombwe kuna ya UKWELI ndiyo maana yakaja na yamazingaombwe
 
daaah aisee, hujawahi ongea nae hata kidogo kumwambia ni matapeli? Inasikitisha
 
Hao Pentecostal wafutwe maana ndio umekuwa mlango wa manabii feki kuingilia maisha ya watu.
 
Nilishangaa kwamba jambo Lile liliachwa lipite kimya kimya. Unbelievable!!
Serikali inajua kabisa mkifa kwenye mambo yenu ya dini ni makosa na uzembe wenu. Mungu aliwapeni akili ya kuchagua kilicho bora, mkagoma kwa utashi wenu
 
Mwenyewe nimebaki na KKKT tu, sitaki huo usanii wa Mitume na Manabii
 
Kweli huu utahaira wa grade one yaani mtu mzima na mapumbu yake anasimama na kupiga honi na.mdomo piii na kunyonga nyonga mikono kama ameshika usukani.Hawa wapumbavu ndio wanaambiwaga wakajirushe kwenye barabara zenye magari wagongwe na magari wafe wakakutane na yesu.
 
Wahuni tu hao aisee. Sema nawaza namimi siku moja nitafte nyumbu wangu nipite nao [emoji3][emoji3][emoji3] maisha hayawezi kuwa magumu hivi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]km pilipili na masanja Wana waumini na wanakula fungu la kumi wewe pia utawapata bro

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…