Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu
Wenzetu waishaachana na huu ujinga kitambo sana. Hawa manabii, mitume nk walikuwa ni watu wa kudhibitiwa, wanatumia ukosefu wa elimu na umasikini wa jamii yetu kuiangamiza kabisa.

Umewasahau imani za kishirikina, uchawi na waganga wa kienyeji wote hao ni kundi moja.
 
Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.

Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.

Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.
 
Wenzetu waishaachana na huu ujinga kitambo sana. Hawa manabii, mitume nk walikuwa ni watu wa kudhibitiwa, wanatumia ukosefu wa elimu na umasikini wa jamii yetu kuiangamiza kabisa.

Umewasahau imani za kishirikina, uchawi na waganga wa kienyeji wote hao ni kundi moja.
Mental slavery
 
A postol kuna muujiza hapa... 🤣🤣🤣 Nini kimetokea...
 
Kuna watu walikufa kule Moshi kisa kupata mafanikio kwa kukanyaga mafuta...😂😂😂
 
Back
Top Bottom