Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

mtu aliyekua na kukomaa kiroho ana maarifa mengi ya kupambanua roho zidanganyazo. Hawezi kubebwa na kuburuzwa na mafundisho mapotofu. Tatizo waumini hawapati mafundisho bora makanisani mwao inabidi watoke waende kwingine, bahati mbaya huko nako wanakutana na mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo wanawararua kisawasawa. Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Me naona ni kukosa maarifa tu....
Pepo anatolewa kwa mtu, ila siyo UPUMBAVU.

Me natamani sana nizame zangu KKKT ila sijui nianzie wapi????
 
"Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako."
Siku nyingine wataambiwa wanaotaka wanawake wa kuwaoa na hawana mahari basi waseme "mke wangu Irene nipatie maji ya kuoga tafadhali"
 
Hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]

View attachment 2602028
Ni hatari sana kujihusisha kwenye kanisa linaloongozwa na vijana dotcom kama wachungaji, hawa rika la mwamposya, kuhani musa, malisa etc.....tamaa ya utajiri inawaendesha sana.
 
Sipati picha [emoji23][emoji23][emoji23] hizo ngurumo za magari hewa zilivyolijaza kanisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28] nimecheka mpaka basi hapo tatizo ni ufahamu mdogo wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…