Wanayo yafanya wakirito huo ndio ukirito wenyewe sababu ukirito aumo kwenye biblia kinacho tumika ni mawazo tu ya wachungaji na wazee wa kanisa tu sio mafundisho ya Mungu,ukitaka kusema ugaidi ni uisilamu sawa tuNa waislam wanaojitoa mhanga wakapewe mabikra mbinguni wao unawasemeaje?Ukitafakari vizuri utagundua Issue si Ukristo maana hata wanayoyafanya sio mafundisho ya Ukristo Bali ni kukosa maarifa tu.
Makani yote yako hivio narudia sababu wakirito akili zao zakushikiwa na wachungaji na wazee wa baraza uliwai kujiuliza kwanini mkiristo akihoji kanisani anafukuzwa au anaambiwa aombewe?Mwongo mkubwa huyu?Unajua Dunia Ina Makanisa mangapi Hadi useme yote?Jaribu kutumia ubongo wako kufikiri
Nishagamwambia wote wapo kundi moja haina haja ya kuwanyooshea vidole manabii, mitume na waganga wakienyeji pekee.Umesema jambo la muhimu sana,uchawi na ushirikina nao ndio wale wale tu,
Cha ajabu eti yule anayeeneza propaganda za kichawi na kishirikina humu JF eti nae anayasema hayo makanisa!
😀😀😀😀
Makanisa yote mama 1 tu tabia 1 yote yanaongozwa na mawazo ya wazee wa kanisa na wachungaji tu ikubali ukatae ndivio hilivio hakuna kanisa linalo kubali taurati wa la injiliAre u serious?Makanisa yote?Unayajua mangapi?Nafikiri wewe ni mwongo na upo nje ya mada.
Wanao piga kampeni ya ushoga ni makanisa hasa lomaNishakustukia... Wewe mfuasi.. maana nimetafakari huo ujumbe wako hata hauendani na mada
Watu wanatapika hadi mikuki, sembuse kiwembe 🤣Na jinsi kiwembe kilivyo halafu mtu anakitapika na kisilete madhara dah[emoji1787][emoji1787][emoji848]
"Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako."Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.
Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.
Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.
Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?
Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.
Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.
Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.
Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.
Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.
Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Mkuu imebid tu nicheke ulipotolewa nje na kukemewa pepo ,pole sanaMimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

[emoji23][emoji23][emoji119]Kuna waumini watakufa miguu inachucha maji wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
𝗪𝗲𝗻𝘇𝗶𝗼 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝘂𝘂𝗷𝗶𝘇𝗮 𝘄𝗮𝗼 𝗵𝘂𝗸𝗼🤣🤣🤣😂😂😂 at first nilijua ni magari ukweli kumbe walikua wanaigiza 😂😂😂
Umechagua fungu jema na lenye heri - kusaidia wenye uhitaji. Hiyo ndiyo maana ya sadaka.Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.
Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.
Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.
Sijajuwa nicheke au nilie. Inastaajabisha sana sanaHili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]
View attachment 2602028
Hakika Mkuu, nimeona kuna usanii mwingi sana kwenye haya Makanisa yetu.Umechagua fungu jema na lenye heri - kusaidia wenye uhitaji. Hiyo ndiyo maana ya sadaka.
Ni tukio la muda kidogo, almost miaka 8 sasa imepita 🤗[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wewee???? Uwiiiih
Hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]
View attachment 2602028
Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.
Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.
Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.
We, Mwamposa akikusikia umekwisha. Tena Kesho atakuwa uwanjani kuonyesha miujiza ya mwaka.Idara ya usalama ipenyeze watu wake kwenye makanisa kabla hayajatokea madhara makubwa
Kwel spy master mmoja hiv aliyetumbuliwa nae ni muumin wa makanisa haya...bwana kipi paHao usalama ni waumini wa hayo makanisa tena mama samia akijaribu wata mwambia anaudini hacha waangamie kwa upumbavu wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa kwa kweli, imani yangu binafsi inatoshaa eti.Ni tukio la muda kidogo, almost miaka 8 sasa imepita [emoji847]
Twende nikupeleke uombewe upate kazi TRA [emoji2957][emoji125][emoji125]