Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Na waislam wanaojitoa mhanga wakapewe mabikra mbinguni wao unawasemeaje?Ukitafakari vizuri utagundua Issue si Ukristo maana hata wanayoyafanya sio mafundisho ya Ukristo Bali ni kukosa maarifa tu.
Wanayo yafanya wakirito huo ndio ukirito wenyewe sababu ukirito aumo kwenye biblia kinacho tumika ni mawazo tu ya wachungaji na wazee wa kanisa tu sio mafundisho ya Mungu,ukitaka kusema ugaidi ni uisilamu sawa tu
 
Mwongo mkubwa huyu?Unajua Dunia Ina Makanisa mangapi Hadi useme yote?Jaribu kutumia ubongo wako kufikiri
Makani yote yako hivio narudia sababu wakirito akili zao zakushikiwa na wachungaji na wazee wa baraza uliwai kujiuliza kwanini mkiristo akihoji kanisani anafukuzwa au anaambiwa aombewe?
 
Umesema jambo la muhimu sana,uchawi na ushirikina nao ndio wale wale tu,

Cha ajabu eti yule anayeeneza propaganda za kichawi na kishirikina humu JF eti nae anayasema hayo makanisa!

😀😀😀😀
Nishagamwambia wote wapo kundi moja haina haja ya kuwanyooshea vidole manabii, mitume na waganga wakienyeji pekee.
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
"Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako."

HIYO NDIYO SIRI YA MAFANIKIO
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Mkuu imebid tu nicheke ulipotolewa nje na kukemewa pepo ,pole sana
 
Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.

Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.

Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.
Umechagua fungu jema na lenye heri - kusaidia wenye uhitaji. Hiyo ndiyo maana ya sadaka.
 
Hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]

View attachment 2602028

Nimeshawahi kusali makanisa hayo,yani mambo ni mengi sana nashukuru nimevuka huo mtego,unaona kila mtu asieamini unachoamini ni pepo
Sishangai waumini wa mwamposa,nabii musa etc sio akili zao hapo ni misukule sio watu
Wanawake wanaongoza kujaa kwenye makanisa hayo sababu ya stress,wamevurugwa vichwani mwao
Mimi natafsiri ulokole ni ukichaa,walokole watanisamehe kwa kuwakwanza
 
Viongozi wengi wa Makanisa wametumia Shida na misongo ya mawazo ya Waumini wao kama mtaji wa biashara zao.

Kuna Kanisa niliiacha kuabudu baada ya kuombwa Nipeleke SalarySlip yangu ili wanipangia Sadaka ya Fungu la 10, yaani Kodi ya Serikali nilipe na Wale wahuni wapige hela zangu kama tunasaidiana kuzitafuta.

Nimeamua zile asilimia 10 walizokuwa wanazitaka kwa nguvu nawasaidia wenye Uhitaji na Masikini wenzangu huku mtaani.

Ubarikiwe sana na hio ndio ibada ya kweli
Mimi siwezi kumpa fungu la 10 mchungaji wala padre
Kuna wahitaji wengi napeleka huko fungu la kumi
 
Idara ya usalama ipenyeze watu wake kwenye makanisa kabla hayajatokea madhara makubwa
We, Mwamposa akikusikia umekwisha. Tena Kesho atakuwa uwanjani kuonyesha miujiza ya mwaka.

Usiwaingize mkenge Idara ya Usalama. Acha tu mpaka watanzania watapoelimika. Mama Samia ndio maana kajikita sana kwenye majengo ya shule, elimu bure na sasa anaingia kwenye ajira za Walimu. Hii ndio dawa ya akina Mwambosa and the company.
 
Ni tukio la muda kidogo, almost miaka 8 sasa imepita [emoji847]

Twende nikupeleke uombewe upate kazi TRA [emoji2957][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa kwa kweli, imani yangu binafsi inatoshaa eti.
 
Back
Top Bottom