Jamii zote zenye dini zao za asili, kwa karne nyingi au dini walizoziunda wenyewe zimefanikiwa

Jamii zote zenye dini zao za asili, kwa karne nyingi au dini walizoziunda wenyewe zimefanikiwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukiziangalia Ulaya, Marekani, India, China, Korea, Vietnam, Uarabuni ni jamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na tamaduni zao za dini kwa karne nyingi zimefanikiwa sana tofauti na wengine waliochukua dini za jamii nyingine miaka ya karibuni kama Africa.

Kuna namna fulani dini za mapokeo zina athari katika maendeleo katika kipindi kifupi na cha kati.
 
ndio tuna dini zetu ila tuseme tu tungechelewa sana bila mchawi mweupe. unawajua wahazabe wew?
 
Back
Top Bottom