JamiiAi new features: Mdau toa asilimia hapo ubora wa picha unauonaje ?

JamiiAi new features: Mdau toa asilimia hapo ubora wa picha unauonaje ?

New Designer

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
551
Reaction score
879
Screenshot_20260828-013042_JamiiAi.jpg
Screenshot_20260828-013445_JamiiAi.jpg

Screenshot_20260828-013430_JamiiAi.jpg

Screenshot_20260828-012530_JamiiAi.jpg


Photo by JamiiAi 🏝🏜
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
Akili Zina sinzia kwenye nini mkuu wangu
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
Hii mind set inanikimbusha mzee mmoja alikuwa ananikataza kutumia kakuleta kisa itakuwa ubongo.

Kabla hujatujia AI lazima uwe na akili, itauwaje sasa hapo?
 
Mkuu, kujua ku-consume API ya ku-generate images haikufanyi kuwa AI engineer.

Overall quality na uhalisia wa picha bado kuna room for improvement, improve system instructions perhaps , sisitiza attention to detail explicitly. Nakupa 7/10.

Tofauti ya jamii ai na AI nyingine ni ipi haswaa. Kipi kitanifanya niache AI's nyingine nitumie hii?
JamiiAi ni Ai & future robotics ya kwanza ya kiswahili duniani ni mradi mkubwa sana unaojitegemea infrastructure inalenga kuwasaidia jamii ya kiswahili duniani kote kwa sasa ina maelfu ya watumiaji kutoka nchi mbali mbali duniani.
 
  • Thanks
Reactions: ---
Hii mind set inanikimbusha mzee mmoja alikuwa ananikataza kutumia kakuleta kisa itakuwa ubongo.

Kabla hujatujia AI lazima uwe na akili, itauwaje sasa hapo?
AI inakuja kuleta athari nyingi mbaya kwa jamii, kama ajira nk.
 
Back
Top Bottom