JamiiAi new features: Mdau toa asilimia hapo ubora wa picha unauonaje ?

Wewe Mods hueleweki, unalipwa na Melo kuleta huu upupu
Rudi shule au kibarua kitaota nyasi
Mimi ni Ai engineer sio mods, nilikuwa nawashirikisha wadau ubora wa picha zilizo jengwa na JamiiAi mnazionaje kupata feedback.
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
Akili Zina sinzia kwenye nini mkuu wangu
 
Sio mpenzi wa AI, imekuja kufanya akili za wanadamu zizidi kusinzia, AI itaongeza mazezeta ulimwenguni.

Critical thinking inaenda kupotea kabisa.
Hii mind set inanikimbusha mzee mmoja alikuwa ananikataza kutumia kakuleta kisa itakuwa ubongo.

Kabla hujatujia AI lazima uwe na akili, itauwaje sasa hapo?
 
JamiiAi ni Ai & future robotics ya kwanza ya kiswahili duniani ni mradi mkubwa sana unaojitegemea infrastructure inalenga kuwasaidia jamii ya kiswahili duniani kote kwa sasa ina maelfu ya watumiaji kutoka nchi mbali mbali duniani.
 
Reactions: ---
Hii mind set inanikimbusha mzee mmoja alikuwa ananikataza kutumia kakuleta kisa itakuwa ubongo.

Kabla hujatujia AI lazima uwe na akili, itauwaje sasa hapo?
AI inakuja kuleta athari nyingi mbaya kwa jamii, kama ajira nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…