Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Waheshimiwa wenzangu wapenda kandanda la uingereza ligi ndio hiooo inanukia.kwa vile kuna washabiki wengi humu wa kandanda nimeona vizuri kuanzisha fantasy league yetu hili kuangalia uwezo wetu sisi washabiki humu ndani na pia kutuchangamsha wakati ligi inaendelea.Ni vizuri wale watakaopenda kujiunga tutumie majina yetu ya humu jamiiforums hili tuweze kujua nani ni nani.kwa mfano timu yangu inaitwa (Arsene wenger 11) kwahio ni rahisi kufuatiliana matokeo yetu.
Kwa wale watakao penda kujiunga nimefungua kupitia yahoo.
website Fantasy Sports - Premier League Fantasy Football Game group letu litaitwa jamiiforum fantasy league na password ni tanzania.
kwahio na wakaribisheni wote na kama kuna swali lolote tuulizane humu. group id # 696 password tanzania.
asanteni sana.

Last edited: