Jamiiforum fantasy league

Jamiiforum fantasy league

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
8,635
Reaction score
2,205
Waheshimiwa wenzangu wapenda kandanda la uingereza ligi ndio hiooo inanukia.kwa vile kuna washabiki wengi humu wa kandanda nimeona vizuri kuanzisha fantasy league yetu hili kuangalia uwezo wetu sisi washabiki humu ndani na pia kutuchangamsha wakati ligi inaendelea.Ni vizuri wale watakaopenda kujiunga tutumie majina yetu ya humu jamiiforums hili tuweze kujua nani ni nani.kwa mfano timu yangu inaitwa (Arsene wenger 11) kwahio ni rahisi kufuatiliana matokeo yetu.
Kwa wale watakao penda kujiunga nimefungua kupitia yahoo.
website Fantasy Sports - Premier League Fantasy Football Game group letu litaitwa jamiiforum fantasy league na password ni tanzania.
kwahio na wakaribisheni wote na kama kuna swali lolote tuulizane humu. group id # 696 password tanzania.
asanteni sana.
 
Last edited:
Mkuu nilikuwa sijaiona hii, tutajiunga..Ila wengine tuko kwenye Foxsports EPL.
 
kama ikikataa kujoin group click kwenye team manager alafu join group manake naona bei za wachezaji hawaja badirisha bado ziko za mwaka jana ni vizuri kusubiri last minute kucreate timu yako.
 
wiki tatu zimebaki ligi kuanza .group id 696 password tanzania.link hiko juu kule.karibu wazee wakandanda wote.
 
Nimeshajiunga Hatarious XI, ila bado sijanunua wachezaji.
 
nini future ya usajili uingereza kulingana na hali ya uchumi ukilinganisha na bei za wachezaji?
 
Back
Top Bottom