Kukomenti kwa stara ndiyo kitu, unamaanisha kuogopa kuongea ukweli halisi jinsi ulivyo? Kwa mfano Samia kaua maelfu ya Watanganyika hiyo ni kuongea kwa stara au la maana ndivyo ukweli halisi ulivyo.Sawa LAKINI, unaongeza liski pale tunaposhindwa kutumia vizuri midomo yetu , mfano kuzusha au kutukana viongozi hata kama hatuwapendi lazima tuwaheshimu. Kama huwezi kukomenti Kwa Satara jizuie kaa kimya.
Kuna watu wanatukana mpaka unaogopa. Aibu unaona wewe.
Kuna jambo unaweza kufanyiwa Kwa kuonewa, Dunia nzima itakuhurumia LAKINI kuna mengine huwa tunafabya huku tukijua kuwa nikama kujisogeza kwenye domo la simba