Azniv Protingas JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 335 Reaction score 554 May 28, 2023 #1 Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 May 28, 2023 #2 Kuna USM Ulger..we hujui.! Ngoja Hili jambo liishe kwanza. Vizazi vya ngumi vilishapita,kwa Sasa Kuna Waganga njaa..! Mara viatu vilinibana nimeibiwa begi..!
Kuna USM Ulger..we hujui.! Ngoja Hili jambo liishe kwanza. Vizazi vya ngumi vilishapita,kwa Sasa Kuna Waganga njaa..! Mara viatu vilinibana nimeibiwa begi..!
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 May 28, 2023 #3 Wengine tupo tunaangalia Vitasa live,Nampeche na Cheka,wanadundana saa hii
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 28, 2023 #4 Ngumi za kibongo zinapanga washindi mnawezaje kuziangalia ?
Uboboh JF-Expert Member Joined May 21, 2023 Posts 307 Reaction score 904 May 28, 2023 #5 Tupo mkuu hatuelewiii hapa
Azniv Protingas JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 335 Reaction score 554 May 28, 2023 Thread starter #6 Uboboh said: Tupo mkuu hatuelewiii hapa Click to expand... Hata mm nlikuwa celewi ndo nkatafuta CMU nkaingia JF
Uboboh said: Tupo mkuu hatuelewiii hapa Click to expand... Hata mm nlikuwa celewi ndo nkatafuta CMU nkaingia JF
Azniv Protingas JF-Expert Member Joined Oct 29, 2020 Posts 335 Reaction score 554 May 28, 2023 Thread starter #7 Erythrocyte said: Ngumi za kibongo zinapanga washindi mnawezaje kuziangalia ? Click to expand... Hizi ambazo wanapigana watanzania wenyewe inakuwa afadhali, lkn utaudhika ikiwa pambano la kimataifa. Mtanzania anapigwa na anashinda πππ
Erythrocyte said: Ngumi za kibongo zinapanga washindi mnawezaje kuziangalia ? Click to expand... Hizi ambazo wanapigana watanzania wenyewe inakuwa afadhali, lkn utaudhika ikiwa pambano la kimataifa. Mtanzania anapigwa na anashinda πππ
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 May 28, 2023 #8 Totoo umelala mshamba_hachekwi