Uzuri wa huu ulaibu wa jf haukupeleki kama wale wa ngadaSi kweli hata uwe busy kiasi gani ukiikumbuka jf utajiiba tu, addiction mbaya sana. Ndio maana Siwalaumu wale wanaorudia madawa ya kulevya ni ngum mno kujibana.
Uzuri wa huu ulaibu wa jf haukupeleki kama wale wa ngada