JamiiForums Addiction

JamiiForums Addiction

Dawa wafute majukwaa yafuatayo.MMU,Jamii interijence,na jukwaa la siasa
 
aisee nilijua niko peke yangu kumbe yuko wengi, sku hizi hata situmii watsap, instagram na Twitter ni Jamiiforum tu. Facebook ndio nlishai-uninstall kwenye simu yangu
 
kabla sjaijua jf nilikuwa mtumiaji sana wa Facebook, ila nilipoijua tu jf imenifanya nimetelekeza Facebook kabisa [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Na ndo natumia jf peke,ake ukiach whatsapp ambapo hamn hata cha maana,bhas tu.ila jf npo addicted ndo kila ki2 kwangu.i love jf
 
Back
Top Bottom