Watu kimyaaaa!
Video imetulia, ila soundtrack imekua ya kutisha sana. JF is a happy place!!
Its kind of hard to go through 2,000 scores(soundtrack), but I will work on that.
Ahsante.
Mngesema kabisa hiyo zawadi ni nini ili mtu ajue itamlipaje akitumia resource zake zote alizonazo. Kwa mfano, mtu huwezi kutumia wiki yako nzima kutengeneza kitu cha maana halafu kumbe zawadi ni kiduchu, wakati kwa zawadi hiyo hiyo kama ungeijua ungewekeza nguvu kiasi ili muda unaobaki ufanye mabo mengine.Ooops!
Mwisho wa mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Competition hii.
Zawadi hatusemi!
Kwa kuanzia kuna mdau Icadon kaandaa ya kwake...
Mngesema kabisa hiyo zawadi ni nini ili mtu ajue itamlipaje akitumia resource zake zote alizonazo. Kwa mfano, mtu huwezi kutumia wiki yako nzima kutengeneza kitu cha maana halafu kumbe zawadi ni kiduchu, wakati kwa zawadi hiyo hiyo kama ungeijua ungewekeza nguvu kiasi ili muda unaobaki ufanye mabo mengine.
Halafu ilikuwaje Icadon akaandaa kabla ya shindano kutangazwa? Isije ikawa ndo mambo tunayoyapinga ya kampuni kupewa tenda na waziri bila ya kuihusisha PPRA. Ingekuwa fair kama vile mtihani wa darasani, kwamba invigilator akisema "START" basi wote mnaanza kwa pamoja na akisema "PENS DOWN" basi wote mnaacha kuandika, mtihani unasahihishwa then kila mtu anapata haki yake. Anyway ngoja nisipoteze muda hapa, niingie studio kutoa multimedia ya maana !!