JamiiForums Advert Competition

JamiiForums Advert Competition

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Kwa kuanzia kuna mdau Icadon kaandaa ya kwake...

Tunahitaji tangazo ambalo litakuwa la kipekee kwa ajili ya kuweka kwenye Bilboards za Tanzania na Tv Screens.

Angalia alichoandaa mwenzetu:

JF Advert by Icadon
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=5HljMouXHK0[/ame]

Atakayetuandalia tangazo zuri na likakubalika atazawadiwa... (Zawadi inabaki kuwa siri) Lakini, kila atakayejaribu hata kidogo tu hataambulia patupu.

Give it a try!

Deadline of submissions: March 31st 2009
 
Ukiona hivyo wanajipanga! Utashangaa kuona adverts matata sana.
BTW, hamna deadline ya hiyo competition?
 
Ukiona hivyo wanajipanga! Utashangaa kuona adverts matata sana.
BTW, hamna deadline ya hiyo competition?
Ooops!

Mwisho wa mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Competition hii.

Zawadi hatusemi!
 
Ni matumaini watu hivi sasa wanajifua ili waje na kitu murua kabisa.Binafsi leo hii ndiyo nimeliona hili tangazo;siko nyuma nitajitahidi kuja kitu fulani endapo muda utaruhusu mimi nifanye kweli kabla ya mwisho wa mwezi.
 
Video imetulia, ila soundtrack imekua ya kutisha sana. JF is a happy place!!
 
Video imetulia, ila soundtrack imekua ya kutisha sana. JF is a happy place!!

Its kind of hard to go through 2,000 scores(soundtrack), but I will work on that.

Ahsante.
 
Testing 1, 2...Testing...Not a final composition,

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=YeCyF85fz-4]YouTube - Jamii Forums 1:2.[/ame]
 
Icadon......thats Brilliant! keep it up Mkuu,

Nafikri cha kuongeza sasa ni sauti on the background, ukimpata mtu kama Jimmy Kabwe au mazee GQ au hata yule mzee wa IPP nafikri wanaweza kuweka introduction yenye sauti nzito ya mvuto
 
Ooops!

Mwisho wa mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Competition hii.

Zawadi hatusemi!
Mngesema kabisa hiyo zawadi ni nini ili mtu ajue itamlipaje akitumia resource zake zote alizonazo. Kwa mfano, mtu huwezi kutumia wiki yako nzima kutengeneza kitu cha maana halafu kumbe zawadi ni kiduchu, wakati kwa zawadi hiyo hiyo kama ungeijua ungewekeza nguvu kiasi ili muda unaobaki ufanye mabo mengine.
 
Testing 1, 2...Testing...Not a final composition,

YouTube - Jamii Forums 1:2.

Hi Icadon,

Wow Great work just a little feedback that you may have noted yourself:

1) when it starts the line "Be a part of community" should be "Be a part of a community" I think.

2) And a little suggestion is after you higlight the few forums (Jukwaa la siasa....burudani, etc) may not be a bad idea to add "....and much more!"

Thats all...luv'd the ad!!!!
 
Kwa kuanzia kuna mdau Icadon kaandaa ya kwake...

Halafu ilikuwaje Icadon akaandaa kabla ya shindano kutangazwa? Isije ikawa ndo mambo tunayoyapinga ya kampuni kupewa tenda na waziri bila ya kuihusisha PPRA. Ingekuwa fair kama vile mtihani wa darasani, kwamba invigilator akisema "START" basi wote mnaanza kwa pamoja na akisema "PENS DOWN" basi wote mnaacha kuandika, mtihani unasahihishwa then kila mtu anapata haki yake. Anyway ngoja nisipoteze muda hapa, niingie studio kutoa multimedia ya maana !!
 
ICADON
I am not an Expert, so i will just contribute to improve yours, (you dont have to share the zawadi)
You can modify a bit the owrding " Freedom of Speech is a Practice"
The music should be a bit soft and may be Tanzanian, hata ngoma za kienyeji zinazovuta hisia.

Good luck
 
Mngesema kabisa hiyo zawadi ni nini ili mtu ajue itamlipaje akitumia resource zake zote alizonazo. Kwa mfano, mtu huwezi kutumia wiki yako nzima kutengeneza kitu cha maana halafu kumbe zawadi ni kiduchu, wakati kwa zawadi hiyo hiyo kama ungeijua ungewekeza nguvu kiasi ili muda unaobaki ufanye mabo mengine.

One week, unatengeneza music video? LOL!!
 
Nice add Icadon, just modify the soundtrack, vipi ukimpata mpoto yule mwimbaji wa mjomba akuwekee kasound track kazuri.
 
Halafu ilikuwaje Icadon akaandaa kabla ya shindano kutangazwa? Isije ikawa ndo mambo tunayoyapinga ya kampuni kupewa tenda na waziri bila ya kuihusisha PPRA. Ingekuwa fair kama vile mtihani wa darasani, kwamba invigilator akisema "START" basi wote mnaanza kwa pamoja na akisema "PENS DOWN" basi wote mnaacha kuandika, mtihani unasahihishwa then kila mtu anapata haki yake. Anyway ngoja nisipoteze muda hapa, niingie studio kutoa multimedia ya maana !!

Natumaini invisible atakujibu ila kama asipokujibu nitakwambia.
 
Back
Top Bottom