JamiiForums awards 2018/2019

Hahahaaa. Ndio hivyo kuna namba nimeiona inakufaa hapo. Teh teh.

Najua ushaiona tayari ndio umeiona. Teh

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahah!! Ipi hiyo?

Nimeona hapo juu umepewa no. 1 sasa nahisi watatoa tuzo mbili kwenye hicho kipengele mana mimi pia kinanihusu
 
Hahah!! Ipi hiyo?

Nimeona hapo juu umepewa no. 1 sasa nahisi watatoa tuzo mbili kwenye hicho kipengele mana mimi pia kinanihusu
Hahaaaa. Umeiona sana.

Hivi na weye una nidhamu ka mie? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…