Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
NoMzizi mkabh
Mzizi mkavu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NoMzizi mkabh
Mzizi mkavu..?
Kumpa huyu mtu hiyo Tuzo hujakosea inamstahili kabisa.Kwa nn dear
Weeh!! Sitaki kichambo mie..Mkuu mbona unacheka huyo member ni nani?
Dada whatsapp huoni eehNamba 5 na namba sita kuna watu lazima wapewe tuzo
Mkuu mbona mapema sana
Hahah!! Ipi hiyo?Hahahaaa. Ndio hivyo kuna namba nimeiona inakufaa hapo. Teh teh.
Najua ushaiona tayari ndio umeiona. Teh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha wivu mkuu, tehteehhhNitapunguza mapato ya mb kwa melo
Sijui unadondokea wapi rafiki. Wacha nizirudie kisha nikupachike kwenye moja hapo. Hahahaaa.Nimecheka sana.
Hahaaaa. Lol.Hiyo namba moja dadaangu HAJAR inamfaa sana hiyo, kwa kweli apewe tu hamna namna.
Hahahahahaha uwiiii santooo sananamba tatu atachukua mke wa Mshana Jr ,Demiss, hii familia italamba tuzo mbili
Hahaaaa. Umeiona sana.Hahah!! Ipi hiyo?
Nimeona hapo juu umepewa no. 1 sasa nahisi watatoa tuzo mbili kwenye hicho kipengele mana mimi pia kinanihusu
Hiyo ni yako kabisaa bila kupepesa macho.Sijui unadondokea wapi rafiki. Wacha nizirudie kisha nikupachike kwenye moja hapo. Hahahaaa.
Namba 1 hajar inamuhusuHahah!! Ipi hiyo?
Nimeona hapo juu umepewa no. 1 sasa nahisi watatoa tuzo mbili kwenye hicho kipengele mana mimi pia kinanihusu