JamiiForums awards 2018/2019

Hahaaa. Haya ahsante kwa kukazia Sesten. [emoji85]

Nimenuna hapa hakuna namba ya kukuweka Sesten yaani zote hazikufai.
Wee niache tu Hajar, hizo tuzo ni bahari ndefu mimi siingii huko hata chembe maana ningali kinda wa kilakitu hapo....nitakua mtazamaji na mshangiliaji na mpambe tu
 
Nshakuacha Hajar mieee. Poleeee.

Hahahaaa. Eti mshangiliaji na mpambe lol. Haya bana.
Kwaharakaharaka hapo utanyakua kwa uchache tuzo si chini ya tatu hivi Hajar, ngoja niendelee kupitia categories nyingine huenda ukaingia kwenye nomination nyingine tena
 
Kwaharakaharaka hapo utanyakua kwa uchache tuzo si chini ya tatu hivi Hajar, ngoja niendelee kupitia categories nyingine huenda ukaingia kwenye nomination nyingine tena
Uuwiiiii.

Haya tafuta nyingine inifaayo unipachikemo humo. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…