Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mi ntakua nyuma yakoWakikunyima hiyo tuzo tuandamane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ntakua nyuma yakoWakikunyima hiyo tuzo tuandamane
Kaa pembeni jaman nyuma unasubiri nnMi ntakua nyuma yako
Hahahaaaa. Kabisaaaaaa.Kwa kweli yani!
Kuwa nje ya JF ni kukosa vingi sana.
Watu wengi wanapenda na wanawahi mbele kwa hiyo panakua mamejaa sasa inabidi tu kua nyuma maana wengi hawataki kua huko na nikikaa pembeni kama ulivonishauri nitapitwa na hayo maandamanoKaa pembeni jaman nyuma unasubiri nn
Hahaha haya bwanaWatu wengi wanapenda na wanawahi mbele kwa hiyo panakua mamejaa sasa inabidi tu kua nyuma maana wengi hawataki kua huko na nikikaa pembeni kama ulivonishauri nitapitwa na hayo maandamano
KabisaHahahaaaa. Kabisaaaaaa.
Kimoja wapo kuwa na furaha muda wote.
Aaah iyo ninge chukua mm mkuu!!!Ungeweka na ya 11. MEMBER ASIEANZISHA UZI KAZI KUSOMA ZA WENZAKE hapo ningeshinda
Namimi nakazia hapohapoHahaaaa. Lol.
Hahaaa. Haya ahsante kwa kukazia Sesten. [emoji85]Namimi nakazia hapohapo
Wee niache tu Hajar, hizo tuzo ni bahari ndefu mimi siingii huko hata chembe maana ningali kinda wa kilakitu hapo....nitakua mtazamaji na mshangiliaji na mpambe tuHahaaa. Haya ahsante kwa kukazia Sesten. [emoji85]
Nimenuna hapa hakuna namba ya kukuweka Sesten yaani zote hazikufai.
Nshakuacha Hajar mieee. Poleeee.Wee niache tu Hajar, hizo tuzo ni bahari ndefu mimi siingii huko hata chembe maana ningali kinda wa kilakitu hapo....nitakua mtazamaji na mshangiliaji na mpambe tu
Hiyo wakupe kabisa kabisa mkuuNamba 3 itanifaa
Kwaharakaharaka hapo utanyakua kwa uchache tuzo si chini ya tatu hivi Hajar, ngoja niendelee kupitia categories nyingine huenda ukaingia kwenye nomination nyingine tenaNshakuacha Hajar mieee. Poleeee.
Hahahaaa. Eti mshangiliaji na mpambe lol. Haya bana.
Kwa majibu haya naona ushaanza juhudi za kuitafuta tuzo No. 5Wewe mku.ndu nini!!!!???
Uuwiiiii.Kwaharakaharaka hapo utanyakua kwa uchache tuzo si chini ya tatu hivi Hajar, ngoja niendelee kupitia categories nyingine huenda ukaingia kwenye nomination nyingine tena