Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kwa sasa hebu hiyo namba 1 na namba 10 huna mpinzani kwa maoni yangu, category nyingine ambayo naamini waweza chukua mpaka nivipate vi emoj vya kuziba uso au nikapige vyombo kwanza ndio nitaitajaUuwiiiii.
Haya tafuta nyingine inifaayo unipachikemo humo. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Lol.Kwa sasa hebu hiyo namba 1 na namba 10 huna mpinzani kwa maoni yangu, category nyingine ambayo naamini waweza chukua mpaka nivipate vi emoj vya kuziba uso au nikapige vyombo kwanza ndio nitaitaja
Ila mleta uzi hajataja categories zote ungeingia kwenye kinyang'anyiro pia Hajar
Hahahaaaa ndio hivo Hajar😉😉😉Hahahaaa. Lol.
Haya bana hayo ni maoni yako Sesten wa watu mie sina cha kuongeza wala kupunguza hapo. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahaaaa ndio hivo Hajar😉😉😉
Sijui bae wanguupo namba ngap baby???
Kweli ungechukua maana mie mara ya mwisho kuandika uzi ni 2012 vinginevyo kila ninachotaka kufungua uzi najikuta tayari kuna mtu ameshaweka ama kilikuwapo miaka ya nyuma...ila wewe kweli utachukua maana una uzi mmoja tu umewahi kuandikaAaah iyo ninge chukua mm mkuu!!!
hebu nitaje na mm bwana huujui kuwa mm nina nidhamu humu hahaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zina hela lakini?
mkuu kumbe upoAISEEE AWARDS! !!
mm hpaMember mwenye Jina lenye kuendana nayee, nachukua mimi apa
npe tuzo mama acha hizo[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaha, basi nakuachia hiyomm hpa
Ngoja nitafute wapi patakufaa Baba Swalehe. Hahahaaa.npe tuzo mama acha hizo
fanya fasta nakusubir nakarbia kufaNgoja nitafute wapi patakufaa Baba Swalehe. Hahahaaa.
Nimechela kwa sauti jamaani lol.fanya fasta nakusubir nakarbia kufa
@hajarof coz cna shobo na mtu hata melo alini pm et nfadhili memba trophy points sjamjbu mpk leo cpnd shobo