JamiiForums awards 2018/2019

JamiiForums awards 2018/2019

Uuwiiiii.

Haya tafuta nyingine inifaayo unipachikemo humo. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa sasa hebu hiyo namba 1 na namba 10 huna mpinzani kwa maoni yangu, category nyingine ambayo naamini waweza chukua mpaka nivipate vi emoj vya kuziba uso au nikapige vyombo kwanza ndio nitaitaja

Ila mleta uzi hajataja categories zote ungeingia kwenye kinyang'anyiro pia Hajar
 
Hahahaaa. Lol.

Haya bana hayo ni maoni yako Sesten wa watu mie sina cha kuongeza wala kupunguza hapo. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Aaah iyo ninge chukua mm mkuu!!!
Kweli ungechukua maana mie mara ya mwisho kuandika uzi ni 2012 vinginevyo kila ninachotaka kufungua uzi najikuta tayari kuna mtu ameshaweka ama kilikuwapo miaka ya nyuma...ila wewe kweli utachukua maana una uzi mmoja tu umewahi kuandika
 
Back
Top Bottom