JamiiForums awards 2018/2019

mipasho kwa wadada iende kwa@madam majuma.@beef lasgna...kwa wanaume kuna mmoja yy muda wote ana stress na wake za watu...mxiew
Ha haaaa twende Russia tukaangalie kombe la dunia
 
Member anayeamka usiku wa manani na kuanza kuperuzi JF
 
Bora umebadili avatar... nilikuwa naipenda saana sijui kwanini.
Lol Sasa unafurahia wakati ulikuwa unaipenda? Nilijaribu kurudisha ya zamani nikawa nimesahau niliitoa wapi. lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…