Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Duuh. Haya ngoja nisubiri nione rafiki.Hiyo ni yako kabisaa bila kupepesa macho.
Hahahaaa. Lol.Namba 1 hajar inamuhusu
Haha sio Mr bold pekee.. Kuna hajar mumu n shunie.. Hizi tuzo ziwe nyngHii inamfaa Mwifwa
Hahahaha!! Doh! Sawa Ahsante sana.Hahahaaa. Duuh. Haya ngoja nisubiri nione rafiki.
Ila wewe namba 10 inakufaa jamaani [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wengine vichambo hatuviweziYan mwanamke utashindwaje kumchamba naye?
Yakufaa atiii. Ndio sababu ukakosa wa kukutonya kuja kijijini.Hahahaha!! Doh! Sawa Ahsante sana.
Doh! JF nakupenda Daima,Yakufaa atiii. Ndio sababu ukakosa wa kukutonya kuja kijijini.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Hujawahi ijutia jf kila kukicha.Doh! JF nakupenda Daima,
Ahsante kwa kutuletea furaha kama hii kwa kweli.
Ngoja niingieDada whatsapp huoni eeh
Nduguye anajiita dawa x humpi kura?
Ashindwi kuwachamba hao mods..hahaTeh teh teh huyu ntu hata mods naona hawampagi ban kama wengine
Kwa kweli yani!Hahahaaa. Hujawahi ijutia jf kila kukicha.
Hongera jamaani. [emoji2] [emoji2]