Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaaa twende Russia tukaangalie kombe la duniamipasho kwa wadada iende kwa@madam majuma.@beef lasgna...kwa wanaume kuna mmoja yy muda wote ana stress na wake za watu...mxiew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaaa twende Russia tukaangalie kombe la duniamipasho kwa wadada iende kwa@madam majuma.@beef lasgna...kwa wanaume kuna mmoja yy muda wote ana stress na wake za watu...mxiew
Chief-Mkwawa - JF Tech13:MEMBER ANAYE ANAYE SHIRIKI JUKWAA MOJA TU HAPA JF..........
Mshana Jr2:MEMBER ANAYE KUWA ONLINE MUDA MWINGI.........
Asante my babyndio babe you deserve it
ha hahahaHiyo tuzo utapata nayo tabu sana
hahaha ngoja aje "" mtapigana ngumi "" humu Humu ""..Hahahahah mkuu si umtaje jina lake!!?
Namba nane Mshana Jr
[emoji46] [emoji46] [emoji38] [emoji38] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Wakikunyima hiyo tuzo tuandamane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zina hela lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sijui lakini unastahili
Hahahhaa vipi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa sijui kama mshindi angepatikana maana tupo wengiUngeweka na ya 11. MEMBER ASIEANZISHA UZI KAZI KUSOMA ZA WENZAKE hapo ningeshinda
Bora umebadili avatar... nilikuwa naipenda saana sijui kwanini.Haha. Alhamdulillah. Sijui weye?
Alhamdulillah ijumaa inasogea
Lol Sasa unafurahia wakati ulikuwa unaipenda? Nilijaribu kurudisha ya zamani nikawa nimesahau niliitoa wapi. lolBora umebadili avatar... nilikuwa naipenda saana sijui kwanini.
Umenipunguzia Kukuangalia.Lol Sasa unafurahia wakati ulikuwa unaipenda? Nilijaribu kurudisha ya zamani nikawa nimesahau niliitoa wapi. lol
Oh hata hii tutaizoea lakiniwas bored and playing around
Unazungumzia gentamycine AUNo 6 iende kwa yule jamaa ambaye jina lake ni dawa katika group la tetracycline..